African Storybook
Menu
Mbuzi, Mbwa na Ng'ombe (Paka rangi)
Brigid Simiyu
Marleen Visser
Kiswahili
Mbuzi, Mbwa na Ng'ombe walikuwa marafiki wakubwa.

Siku moja walisafiri kwa teksi.
Walifika mwisho wa safari yao.

Dereva aliwauliza walipe nauli zao.

Ng'ombe akalipa.
Mbwa hakuwa na kiasi kamili cha pesa, akalipa zaidi kidogo.
Dereva alikuwa anajitayarisha kumrudhishia Mbwa baki ya pesa zake.

Wakati huo, Mbuzi alitoroka bila kulipa chochote.
Dereva akakasirika sana.

Akaondosha gari bila kumrudishia Mbwa baki ya pesa zake.
Hiyo ndiyo sababu, siku zote, Mbwa hulikimbilia gari.

Nia yake ni kumpata dereva amrudishie baki ya pesa zake.
Mbuzi, anapousikia mlio wa gari, hutoroka.

Yeye huogopa kushikwa kwa kukosa kulipa nauli.
Ng'ombe huwa hashughuliki gari linapokuja.

Yeye huchukua muda kuvuka barabara.

Anajua kwamba alilipa nauli yake kamili!
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mbuzi, Mbwa na Ng'ombe (Paka rangi)
Author - Fabian Wakholi
Translation - Brigid Simiyu
Illustration - Marleen Visser
Language - Kiswahili
Level - First sentences
© African Storybook Initiative 2014
Creative Commons: Attribution 4.0
Source www.africanstorybook.org
Menu
  • Navigate

    Navigate through the story by swiping right or left or clicking when the cursors changes to an arrow on the right or the left edge of the screen.

    Tap or click on the centre of the page to see, or remove the menu bars at the top and the bottom of the screen. You can also use the ESC key.

    You can use the slider at the bottom as a way to move quickly through the story. On a mobile device tap on the slider before you drag the slider button.

    Click or tap to return to African Storybook.

  • Share
    If you have a Twitter or Facebook account, you can share this story on your page or a page you manage. You can also copy the web link (URL) for this story.
    • Twitter
    • Facebook
    • Url
  • Rate
    Other visitors rated this story

    Tell us how much you liked the story – drag the scroller to highlight one or more stars
    • Submit
  • Comment
    Read other people’s comments on the story, or add your own.
    • Enter your comment
    • Name
    • E-mail
    • Post
  • Translations and adaptations
    • Bok, Hond en Koei
      Afrikaans (Translation)
    • ፍየል፣ ውሻና ላም
      Amharic (Translation)
    • الماعز و الكلب و البقرة
      Arabic (Translation)
    • Dyel, Gwok Kodi Dhyaŋ
      Dhopadhola (Translation)
    • Goat, Dog and Cow (Colour-in)
      English (Translation)
    • Goat, Dog, and Cow with TV
      English (Adaptation)
    • La Chèvre, Le Chien Et La Vache
      French (Translation)
    • Imbuzi, inja nekomo
      isiNdebele (Translation)
    • Mbui, Ngiti Na Ng'ombe
      Kikamba (Translation)
    • Ihene, Imbwa n'Inka
      Kinyarwanda (Translation)
    • Wambuzi, Wambwa ne Wante (Colour-in)
      Luganda (Translation)
    • Imbusi, Imbwa ni Ingaafu (Colour-in)
      Lumasaaba (Original)
    • Embusi, Embwa N’Eŋombe
      Lunyole (Translation)
    • Wambuzi, Wambwa ni Wante
      Lusoga (Translation)
    • Enkíné, Oldía Ó Enkíténg
      Maa (Translation)
    • Akine, Ing'ok Ka Aite
      Ng’aturkana (Translation)
    • Imbusi, Imbwa Nende Ing’Ombe
      Oluwanga (Translation)
    • A Cabra, O Cachorro E a Vaca
      Portuguese (Translation)
    • Ihene, Imbwa Ninka
      Rufumbira (Translation)
    • Embuzi, Embwa ne Ente
      Rukiga (Translation)
    • Embuzi, Embwa, ne Ente
      Runyankore (Translation)
    • Embuzi, Embwa, N’Ente
      Rutooro (Translation)
    • Khomo, Pooli, le Ntja, le TV
      Sesotho (Lesotho) (Adaptation)
    • Podi, Ntja le kgomo e nang le thelebishene
      Sesotho (South Africa) (Translation)
    • Podi, Ntšwa le Kgomo
      Setswana (Translation)
  • Download to read
    Landscape version
  • Download to print
    Portrait (booklet) version
  • Download EPUB