African Storybook
Menu
Wanyama wapata miguu
Brigid Simiyu
Wiehan de Jager
Kiswahili
Hapo zamani, wanyama hawakuwa na miguu.
Maguru alikuwa amewapatia miguu watu pekee.
Maguru aliamua kumpatia kila mnyama miguu.
Wanyama walitaka miguu ili watembee na kukimbia.
Ilikuwa vigumu kwao kutambaa.
Siku ilifika. Wanyama tofauti walitambaa kwenda kwa Maguru.
Maguru aliwapatia wanyama na ndege miguu.
Baadhi ya wanyama walicheza. Wengine walianguka chini.
Walisema, “Hatutatambaa tena.”
Jongoo alikuwa wa mwisho kwenye mstari.
Maguru alimpatia miguu yote iliyokuwa imabaki.
Jongoo alisema kwa furaha, “Nitatembea haraka kuwaliko wengine.”
Baadaye, Nyoka alifika. Alimsihi Maguru, “Tafadhali, nipe miguu.”
Nyoka alimwambia Maguru, “Nililala kupita kiasi.”
Maguru hakupata miguu yoyote ya kumpatia Nyoka.
Tangu siku hiyo, Nyoka anasubiri kupata miguu.
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Wanyama wapata miguu
Author - Mutugi Kamundi
Translation - Brigid Simiyu
Illustration - Wiehan de Jager
Language - Kiswahili
Level - First words
© African Storybook Initiative 2015
Creative Commons: Attribution 4.0
Source www.africanstorybook.org
Menu
  • Navigate

    Navigate through the story by swiping right or left or clicking when the cursors changes to an arrow on the right or the left edge of the screen.

    Tap or click on the centre of the page to see, or remove the menu bars at the top and the bottom of the screen. You can also use the ESC key.

    You can use the slider at the bottom as a way to move quickly through the story. On a mobile device tap on the slider before you drag the slider button.

    Click or tap to return to African Storybook.

  • Share
    If you have a Twitter or Facebook account, you can share this story on your page or a page you manage. You can also copy the web link (URL) for this story.
    • Twitter
    • Facebook
    • Url
  • Rate
    Other visitors rated this story

    Tell us how much you liked the story – drag the scroller to highlight one or more stars
    • Submit
  • Comment
    Read other people’s comments on the story, or add your own.
    • Enter your comment
    • Name
    • E-mail
    • Post
  • Translations and adaptations
    • Luka Bineensootaa
      Afaan Oromo (Translation)
    • Maguru deel bene uit
      Afrikaans (Translation)
    • እንስሳቱ እግር ተሰጣቸው
      Amharic (Translation)
    • Maguru apereka miyendo
      Chichewa (Translation)
    • Maguru ikupa amalundi
      Chinkhonde (Translation)
    • Maguru upa maulu
      ChiTonga (Translation)
    • Maguru upa maulu
      ChiTonga (Adaptation)
    • Magulu wapeleka malundi
      Chitonga (Malawi) (Translation)
    • Maguru apasa mendo
      CiNyanja (Translation)
    • Maguru apasa miyendo
      CiNyanja (Adaptation)
    • Maguru wakupereka malundi
      Citumbuka (Translation)
    • A Magulu ŵapelece ngongolo
      Ciyawo (Malawi) (Translation)
    • Ogwange Jo Nwaŋo Tyendi Gin
      Dhopadhola (Translation)
    • Ten yok laai cok thin
      Dinka (Translation)
    • Maguru ahinya meto
      Ellomwe (Malawi) (Translation)
    • Maguru gives legs
      English (Original)
    • Animals get legs
      English (Adaptation)
    • Maguru donne des pattes
      French (Translation)
    • Taalol: Maaguru Hokkii Koyɗe
      Fulfulde Mbororoore (Translation)
    • Madugu ya raba ƙafafu
      Hausa (Nigeria) (Translation)
    • Maguru Apeela Amoolu
      IciBemba (Translation)
    • Mununga apeela amoolu
      IciBemba (Adaptation)
    • Moono Apeela Amoolu
      IciBemba (Adaptation)
    • Chiokike na-enye ụkwụ!
      Igbo (Translation)
    • UMaguru unikela imilenze
      isiNdebele (Translation)
    • UMaguru uphisa ngemilenze
      isiXhosa (Translation)
    • UMveli unikela ngemilenze
      isiZulu (Adaptation)
    • Magurub ge ǀnūga ra mā
      Khoekhoegowab (Translation)
    • Anyama anapata magulu
      Kiduruma (Translation)
    • Maguru
      Kinyarwanda (Translation)
    • Maguru apatiana miguu
      Kiswahili (Translation)
    • Esolo Jifuna Amagulu
      Lunyole (Translation)
    • Esolo Jifuna Amagulu
      Lunyole (Translation)
    • Wamagulu agaba amagulu
      Lusoga (Translation)
    • Shimbilinga ta havaleke omaulu
      Oshikwanyama (Translation)
    • Maguru ta gandja omagulu
      Oshindonga (Translation)
    • Maguru ujandja omarama
      Otjiherero (Translation)
    • Maguru ana gava maguru
      Rukwangali (Translation)
    • Maguru o abela diphoofolo maoto
      Sepedi (Translation)
    • Khalimane o fana ka maoto
      Sesotho (Lesotho) (Translation)
    • Maguru o fana ka maoto
      Sesotho (South Africa) (Translation)
    • Montshiwa o abelana ka maoto
      Setswana (Translation)
    • Maguru Ufa Mautu Ahae
      SiLozi (Translation)
    • Mveli unikela ngemilente
      Siswati (Translation)
    • ንእንሳት እግሪ ተዋሃቦም
      Tigrigna (Translation)
    • Maguru u ṋekedza milenzhe
      Tshivenḓa (Translation)
    • Maguru a phakela milenge
      Xitsonga (Translation)
  • Download to read
    Landscape version
  • Download to print
    Portrait (booklet) version
  • Download EPUB