Naka na Nala wanaongea kuhusu maji
Eric Khorombi
Simon Mokoena

Naka na Nala wanafanya kazi ya ziada. Wanajifunza kuhusu maji.
"Maji hayana rangi wala ladha, lakini ni rasilimali yenye thamani." Nala apaza sauti.

1

Naka anakubaliana, "Kila kiumbe kinahitaji maji. Watu hutumia maji kwa minajili ya kunywa, kupika, kusafisha na kulima."
"Na kutengeneza vitu viwandani," Nala achangia.

2

''Zaidi ya nusu ya mwili wa binadamu umeundwa na maji! Maji hufanya zaidi ya kukata kiu. Miili yetu inahitaji maji kufanya kazi," asema Naka.

3

“Most of the earth is covered with water, in rivers, lakes, and seas,” says Nala.

Naka nods, “Over two thirds of our planet is water.”

4

“But most of the water on the earth is salt water.

Only a tiny amount is fresh water, which is what humans need,” says Naka.

5

“Salt water contains salt, and it’s difficult and expensive to remove salt from water.

But, humans can’t drink salt water!” exclaims Naka.

6

“Let’s study the water cycle.

It’s a process where water moves up from the earth into the air and collects in clouds,” says Naka.

7

Nala adds, “Water in the clouds falls to earth as rain, hail, or snow.”

8

Naka exclaims, “I’m thirsty, I need some water!”

Nala responds, “Yes, your brain needs water to think and learn! Water is life, treat it right.”

9

——Questions


Who needs fresh water? Why?

List 5 uses of fresh water.

How can we look after fresh water on the earth?

Is the earth’s water mostly fresh or mostly salty? Explain.

Draw the water cycle. Use words from the story to explain what happens.

10
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Naka na Nala wanaongea kuhusu maji
Author - Eric Khorombi
Translation - Anne Kamau
Illustration - Simon Mokoena
Language - English
Level - First sentences