tofaa moja matofaa mawili
ndizi moja ndizi mbili ndizi tatu
nanasi moja mananasi mawili
tikiti maji moja matikiti maji mawili
papai moja mapapai mawili
embe moja maembe mawili
parachichi moja maparachichi mawili
chungwa moja machungwa mawili
pera moja mapera mawili
pasheni moja pasheni mbili
limau moja malimau mawili
stroberi moja stroberi mbili
chenza moja machenza mawili
cheri moja cheri mbili cheri tatu
zabibu moja zabibu mbili zabibu nyingi!
Je, ni matunda mangapi unayoona!