Ritah Katetemera
Catherine Groenewald

kulikuwa na mtu na mbwa wake mmoja

1

Alimpenda mbwa wake sana.

2

Alikuwa akifanya kazi kwa bidii na alikuwa akienda sokoni kununua nyama.

3

kuteka maji kisimani.

4

Kulinda kila kitu nyumbani.

5

Siku moja huyo mtu alimshukuru mbwa wake kwa njia maalum kwa kuwa mwaminifu.

6

Mbwa akawa na furaha sana na ikaendelea kufanya kazi kwa bidii.

7
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Author - Ritah Katetemera
Translation -
Illustration - Catherine Groenewald, Jean Fullalove, Sandy Campbell, Ursula Nafula, Wiehan de Jager
Language -
Level - First paragraphs