Ujinga wa Majitu
Fabian Wakholi
Natalie Propa

Kulikuwa na kiangazi.

Mulongo na familia yake walikosa chakula.

1

Mulongo alienda na famalia yake kutafuta chakula.

2

Walipata shamba la migomba.

Mwenye shamba hakuwepo.

3

Ghafla, jitu kubwa liliwasili! 

Liliwaruhusu wakae pale.

4

Asubuhi moja, jitu lilisema, "Nipikie mvulana wako."

5

Jioni, jitu likasema, "Kesho, mpike binti yako."

6

Wazazi walimficha binti yao mtini.

7

Jitu lilimwambia mke wa Mulongo, "Kesho lazima umpike mmeo."

8

Jioni hiyo, jitu lilimueleza mke ajipike mwenyewe!

9

Jitu lilikula likashiba.

Lililala chini ya mti likikoroma.

10

Liliwaona wote wakiwa wazima. 

Lilikasirika sana.

11

Mulongo alilidanganya jitu.

Waliondoka wakaenda zao.

12
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Ujinga wa Majitu
Author - Fabian Wakholi
Translation - Brigid Simiyu
Illustration - Natalie Propa
Language - Kiswahili
Level - First words