Watu hawa wana maoni tofauti.
"Walimu ni muhimu zaidi. Mnatuhitaji sisi kujifunza," mwalimu anasema.
"Wajenzi ni muhimu. Mnahitaji nyumba," mjenzi anasema.
“Seremala ni muhimu zaidi. Mnahitaji samani.â€
"Madaktari ni muhimu zaidi. Mnahitaji matibabu."
"Wakulima ni muhimu zaidi. Mnatuhitaji kwa chakula."
"Wanafunzi ni muhimu zaidi!" Mwanafunzi anasema.
"Nyote mlikuwa wanafunzi kwanza!" Wote wanakubaliana.