Mtende
Simon Ipoo
Rob Owen

Hebu nikueleze kuhusu mtende.

1

Mtende ni mmea wa kudumu.

Unaweza kusitawi wakati mimea yote mingine imekauka.

2

Kivuli cha mtende kina upepo mzuri.

3

Tunakula matunda ya mtende.

4

Tunatumia majani ya mtende kuezeka nyumba zetu.

5

Tunatengeneza fagio na kusuka mikeka kwa kutumia majani ya mtende.

6

Tunatumia nafaka zake kupika.

7

Sasa umefahamu kwa nini mtende ni muhimu sana?

8

Maswali: A) Tunatumia ___ya mtende kuezeka nyumba zetu. B) Tunasuka _____ kwa kutumia majani ya mtende. C) Tunatumia __________ za mtende kupika. 3. Taja jina la aina nyingine ya mti inayosaidia jamii yenu.

9
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mtende
Author - Simon Ipoo
Adaptation - Translators without Borders
Illustration - Rob Owen
Language - Kiswahili
Level - First sentences