MITAZAMO YA USAWA WA KIJINSIA KATIKA JAMII YETU
Ismaili Abdul
Ismaili Abdul

mim nina itwa Ismail Abduli Hamadi
jinsia ni tofauti ya kimaumbile iliopo kati ya mwanamke na mwanaume katika jamii

1

tunatakiwa kusaidiana na serekali kuelimisha usawa wa kijinsia katika jamii.

2

jamii zingine zina elimu duni kuhusu usawa wa kijinsia watoto wa kike hawapati elimu lakini watoto wa kiume wanapatiwa elimu.

3

jamii zingine zinaamini kuwa watoto wa kike kupata elimu hawata soma watakuwa wana waza kuolewa.

4

watoto wakike kukosa elimu na kushindwa kutimiza ndoto zake alizojiwekea wakati watoto wa kiume na watoto wengine wanaenda shule.

5

watoto wa kike wanaozeshwa wakiwa bado ni wadogo.

6

watoto wakike wakipata mimba wakiwa bado ni wadogo.

7

watoto wote wapatiwe elimu sawa.

8

tusi wavunje watoto wetu moyo.

9

Tunatakiwa kuwasaidia wasome kwa bidii.

10

Changamoto katika jamii ni uvutaji sigara.

11

Jamii ipatiwe elimu juu ya matumizi ya madawa ya kulevya kama vile bangi na pombe.

12

MY NAME IS ISMAIL ABDULI HAMADI, IHAVE 13 YEARS OLD, IAM STANDARD SEVEN PUPIL AT MAZOEZI PREMARY SCHOOL ,I LIVE IN MONDULI TOWN.

13
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
MITAZAMO YA USAWA WA KIJINSIA KATIKA JAMII YETU
Author - Ismaili Abdul
Illustration - Ismaili Abdul
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs