

Siku moja palitoke msichana aliyeitwa Nurath alikuwa na upendo kwa watu wengine.
Nurath alikuwa ana kandamizwa na baba yake aliyeitwa John .
John alikuwa na watoto wawili wa kwanza alikuwa anaitwa Nurath na wa pili alikuwa anaitwa Ikram.
Ikram alikuwa anapendwa sana na baba yake Nurath na Nurath alikuwa ana kandamizwa sana.Ikram alikuwa anapewa zawadi lakini Nurath alikuwa hapewi zawadi.
Alikuwa anafanyishwa kazi ngumu kuliko umri wake alikuwa anabeba mizigo sokoni na kubeba matofali ili apate fedha ya kumpelekea baba yake nyumbani.
Siku moja alienda kufanya kazi akakosa fedha ya kupeleka nyumbani akaenda kumwambia baba yake alimpiga sana na mkanda na kumfukuza.
Nurath alikuwa omba omba wa mtahani.
Nurath na aliishi na mama yake Elizabeth naye alifariki.Na baba yake Nurath alifariki.
kablaya hapo Elizabeth aliolewa na mwanaume mwingine aliyeitwa John. John alikuwa baba wa kambo wa Nurath.wakazaa mtoto mmoja aliyeitwa Ikram.
Suluhisho Nurath alienda kutoa taarifa dawati la jinsia.
Basi baada ya hapo Nurath aliishi vizuri na baba yake.

