Hadithi ya maisha yangu ya utotoni
Wentworth Alex
Wentworth Alex

Mimi ninaitwa Wentworth.mimi ninakumbuka kwenye maisha yangu ya utotoni nilipenda kupendwa na wazazi wangu wote.

1

Niliuzunika wazazi wangu waliponiambia hawana hela.

2

Watu wenye humuimu kwenye maisha yangu ni wazazi wangu wote.

3

Nilifanya juhudi na kujipangia ratiba ya masomo tangujilipoanza shule.

4

Nilipenda kua dereva wa utali.

5

Nilipenda kuawa fundi wa kutengeneza magari mengi.

6

Nilipenda kuawa dereva wa mashindano ya taifa.

7

Au ninapenda kuwa mwanajeshi.

8

Pia ningependa kuwa dereva wa ndege.

9

Pia ningependa kuwa mwalimu wa darasa.

10
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Hadithi ya maisha yangu ya utotoni
Author - Wentworth Alex
Illustration - Wentworth Alex
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs