Bahari ya msangwe
Eric Ouma
Salim Kasamba

Hapo zamani za kale katika nchi ya Karama.kuliwepo na bahari iliyoitwa msangwe.Bahari hii ilisifika na watu Kwa kua ilikua na viumbe wakupendeza sana.baadhi ya viumbe hao ni kama chura,mamba na nyoka

1

Tabia ya viumbe Hawa ilianza kubadilika,wanyama Hawa walianza kupigana na kugombana.siku Moja,mfalme wa baharini aliwaita wanyama wote wa baharini

2

Ili wawe na mkutano wa Amani.Baada ya kujadiliana Kwa muda mrefu, wote walikubaliana kwamba amani ni muhimu.Tangu siku hiyo wanyama wote waliishi Kwa amani

3
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Bahari ya msangwe
Author - Eric Ouma
Illustration - Salim Kasamba, Rob Owen
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs