Maisha Yangu Ya Utotoni
Monica Shank Lauwo

Mimi ninapenda kusoma kwa bidii ili niweze kufikia ndoto yangu ya kuwa mwanajeshi. Katikamaish
mwalimu wangu ni muhimu kwa sababu hunifundisha tabia njema, kuheshimiana na upendo, kwa mfano walimu wa Maktaba ya Cheche.

1

Shule ni muhimu kwenye maisha yangu because najipatia maarifa mbalimbali. Najivunia kuwa mmojawapo wa wanafunzi wa Maktaba ya Cheche because kuna walimu wazuri wanaotufundisha kusoma vitabu popote.

2

Sehemu muhimu katika maisha yangu ni nyumbani na maktabani. Maktabani ni sehemu muhimu katika maisha yangu because najipatia maarifa mbalimbali examples ni hadithi na lugha mbalimbali kama vile Kimasai, Kiingereza, na Kiswahili.

3

Kitu nilichojifunza chenye manufaa katika maisha yangu is kuwasaidia pupils wenzangu katika subjects ambayo hawayafahamu. Ninamshukuru Mungu kwa kunipa roho ya upendo na uvumilivu. Mimi najivunia kuwa na tabia ya uvumilivu na upendo.

4

Example mtu anaponikosea navumilia na kumsamehe. Pia, mwanafunzi mwenzangu pale ambapo mwalimu alifundisha but hakuelewa mimi nitamuelekeza mpaka ataelewa. Hapo ndio mwisho wa hadithi ya maisha yangu

5
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Maisha Yangu Ya Utotoni
Author - Monica Shank Lauwo
Illustration -
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs