Hadithi ya Maisha Yangu
Leonard Paulo

Mimi ninaitwa Leonard Paulo. Nina miaka 11. Ninasoma Shule ya Msingi Mazoezi.

1

Kitu ninachokumbuka kilichonifurahisha nilisafiri kwenda kumtembelea bibi yangu Babati.

2

Watu wenye umuhimu kwenye maisha yangu ni Bibi, Babu, wazazi, walimu, walezi.

3

Sehemu zenye umuhimu kwenye maisha yangu ni nyumbani, maktabani, na shuleni.

4

Nilifanya juhudi kwenye masomo yangu tangu nilipoanza shule mpaka sasa nilipo.

5

Kitu ninachopenda kilichotokea kwenye maisha yangu ni kufaulu mtihani wa darasa la nne.

6

Kitu ambacho ningependa kitokee kwenye maisha yangu ni kufaulu mitihani ya darasa la saba.

7

Ninataka nifaulu mitihani ya Form 2 na Form 4.

8
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Hadithi ya Maisha Yangu
Author - Leonard Paulo
Illustration -
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs