My name is Esther.
Mimi ni mwanafunzi. Ninapenda kusoma na kuandika ilisiku ya mtihani ni faulu mitihani.
Watu wenye umuhimu kwenye maisha yangu ni walimu wangu.
Sehemu yenye umuhimu kwenye maisha yangu ni shuleni kwasababu Mimi ninapenda kusoma.
Ninamkumbuka sana rafiki yangu Victoria. Tulihama Singida na kuja Monduli . Baada ya kuhama nilikosa nafasi ya kumuona.
Ninawapenda wazazi wangu.
I love my teachers.