Hadithi ya maisha yangu ya utotoni.
Noeli Weseslous
Noeli Weseslous

Mimi Ninaitwa Noeli wesesilaus Mtaki Mimi Nina miaka 10 nipo darasa la tango.

1

Mimi pia kitu kinachohuzunisha katika maisha yangu ya utotoni nilijikojolea.

2

Mimi kitu kinacho furahisha katika maisha yangu ya utotoni nilfaulu mitiani wa darasa la nne.

3

Mimi Baba na mama ni muhimu katika maisha yangu ya utotoni.

4

Mimi pia Bibi yangu ni muhimu sana.

5

Mimi pia marafiki zangu wa makanisani.

6

Mimi pia marafiki zangu ni muhimu sana katika maisha yangu ya utotoni.

7

Mimi nafanya juhudi ili kuwaonesha watu kipaji changu.

8

Mimi Ninapenda kufanya biashara sana.

9

Mimi pia majirani zangu ni muhimu sana katika maisha yangu ya utotoni.

10

Mimi pia ni shabiki wa timu ya Simba.

11
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Hadithi ya maisha yangu ya utotoni.
Author - Noeli Weseslous
Illustration - Noeli Weseslous, Kelvin Yona
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs