Ninaitwa Esther.Nilizaliwa Singida.
Watu muhimu kwenye maisha yangu ni mama na bibi yangu.
Kitu kilichonifurahisha ni mama yangu kunifundisha kusoma wakati bado niko mdogo.
Mama yangu aliponifundisha wakati niko mtoto alliniwezesha kufaulu masomo yangu.
Kitu nilichopoenda katika maisha yangu wakati niko mdogo ni wazazi wangu na mlezi wangu kunifundisha na kunipeleka shule mapema.
Shule niliyosoma wakati nipo mdogo iliitwa St. Karolass.
ST. Karolass ilikuwa shule ya masista.Masista pia ndio walitufundisha.shule ya ST. Karolass ilikuwa nzuri sana na masista walitupenda sana.
Kitu kinachonisikitisha ni watu wanakunywa pombe na wengine wanavuta sigara. Ni wachache sana ambao hawanywi pombe na kuvuta sigara.