Kitu ninachokumbuka katika maisha yangu ya utotoni ni kuwa na marafiki wenye upendo.
1
Watu muhimu katika maisha yangu ni wazazi wangu na rafiki zangu.
2
Juhudi nilizofanya ili kufaulu masomo yangu tangu nilipoanza shule ni kusoma kwa bidii.
3
Kitu nilichokipenda katika maisha yangu ya utotoni ambacho ningependa kitokee kwenye maisha yangu ya ukubwani ni kuishi na wazazi wangu wote wawili ambao ni baba na mama.
4
Na kitu kingine ambacho ningependa kitokee kwenye maisha yangu ya ukubwani ni kuwa mchezaji mzuri wa mpira wa miguu.
5
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Hadithi ya maisha yangu ya utotoni.
Author - Josephina John Illustration - Josephina John Language - Kiswahili Level - First paragraphs