Mimi ninaitwa Kelvin yona.kitu ninachokumbuka kinachonifurahisha nilijengewa nyumba Mimi na wazazi wangu.
1
Kitu kinachonihuzunisha ni nilivunjika mkono.
2
Watu ambao Wana umuhimu kwenye maisha yangu ya utotoni ni wazazi wangu.
3
Sehemu zenye muhimu katika maisha yangu ya utotoni ni nyumbani kwetu, shuleni na maktabani.
4
Nilipoanza shule nilifanya juhudi ya kumsikiliza mwalimu darasani na kujibu maswali.
5
Kitu nilichopenda kilichotokea kwenye maisha yangu ya utotoni ni wazazi wangu walikua wafanya biashara Ninatamani kitokee kwenye maisha yangu ya ukubwani.
6
Pia nitawaongezea Mtaji ili waendelee kufanya biashara.
7
Nita wajengea wazazi wangu nyumba kubwa.
8
Nita hakikisha wadogo zangu wanapata elimu na kutimiza malengo na ndoto zao.
9
Pia Mimi na familia yangu tutakuwa na furaha sana.
10
Mimi nitasafiri nchi mbalimbali ili kuwaonesha kipaji changu.
11
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Hadithi ya maisha yangu ya utotoni.
Author - Kelvin Yona Illustration - Language - Kiswahili Level - First paragraphs