Hadithi ya maisha yangu
Kelvin Yona

Mimi ninaitwa Kelvin yona. Ninapenda kufanya kazi za nyumbani Kwa sababu inasaidia kuweka mazingira yetu safi.

1

Watu ambao Wana umuhimu kwenye maisha yangu ni wazazi wangu.

2

Sehemu zenye umuhimu katika maisha yangu ni nyumbani kwetu, shuleni, na maktabani.

3

Ninajivunia kipaji changu cha kuchora.

4

Kitu kilichotokea kwenye maisha yangu na kuacha alama nilivunjika mkono.

5

Ninamshukuru Mungu kwa kunipa wazazi wazuri, kunipa walimu wazur, na kunipa uhai. Pia nitawaelimisha jamii kuhusu maisha yao ya baadaye.

6

Pia Mimi na familia yangu tutakua na furaha sana.

7

Pia Nita muomba mungu anipe nafasi ya kutimiza malengo na ndoto zangu ili niweze kuelimisha Jamii kuhusu ndoto zao niwatie moyo kama Mimi.

8

Pia nitawaelimisha marafiki zangu wanaotaka kukata tamaa.

9

Sitakubali marafiki zangu wakate tamaa.

10

Nitahakikisha wadogo zangu wanapata elimu na kuwaelekeza pale wanapotaka kuelekezwa.

11
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Hadithi ya maisha yangu
Author -
Illustration - Kelvin Yona
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs