Jaribio
Monica Shank
Klabu Ya Hadithi Zetu

Naisam alikuwa mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Nariver. Alikuwa na umri wa miaka kumi na tatu. Aliishi katika Kijiji cha Songambele. Naisam aliishi na bibi, babu, na baba. Mama yake Naisam alimwacha tangu akiwa na umri wa miaka mitatu. Naisam yeye hakumjua mama yake. Naisam yeye alimzoea bibi na babu. Hakumzoea baba kwa sababu baba alikuwa kazini. Naisam alikuwa na bidii sana katika masomo yote. Nyumbani alikuwa na bidii sana kwenye kazi.

1
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Jaribio
Author - Monica Shank
Illustration - Klabu Ya Hadithi Zetu
Language - Kiswahili
Level - Longer paragraphs