Nataka kuelimisha jamii kuhusu ndoto zao wasikate tamaa, waelimishwe.
3
Pia mimi ninapenda kuchora kwenye ukuta wa mashuleni na kompasheni mbalimbali kwa ajili ya kuwafurahisha watoto na hata watu wakubwa. Natamani baadaye mungu anisaidie niwe mchoraji mkubwa. Ninataka kuwa mchoraji mkubwa ili niwe nawasaidia.
4
Nawasaidia wanajamii kujua umuhimu wa ndoto zao.
Na nikiwa mkubwa nitawasaidi wazazi wangu kuwajengea nyumba kubwa na kuwapatia fedha nyingi kutokana na kipaji changu na kufurahia pamoja Mimi na familia yangu kwa ujumla.
5
Mimi Pia nitajijengea nyumba kubwa yenye vitu vingi vya thamani Sana.
Mimi na familia yangu tutafurahia siku zote za maisha yangu yote.na pia nitasafiri nchi mbalimbali mfano, Kenya, Uganda, na kadhalka ili kuwaonyesha kuwa Mimi Nina kipaji