Hapo zamani za kale walitokea ma rafiki wawili ambao ni sungura na fisi.
Siku moja marafiki hao walienda kutafuta chakula,kwa bahati mbaya walikosa.
Sungura na ujanja wake alimshauri mzee fisi kwamba waende wakawale mama zao.
Sungura yeye hakufanya hivyo bali alienda kumficha mamake.
Baada ya fisi kumchinja na Kumla mamake alirudi kumwambia sungura.
Sungura alimcheka ndio maana mpaka leo sungura na fisi ni maadui.