Safari ya maisha yangu
Narda Mian
Catherine Groenewald

Utangulizi
Mimi ni mwanafunzi wa darasa la Tano, katika shule ya msingi ya Tambaza. Nilizaliwa wa Tano katika familia yenye watoto watano wa kike. Mama na baba yangu wanapenda nisome mpaka nifanikiwe. Ninazingatia sana masomo.

1

Dada zangu wananipenda sana na wanatamani nisome sana. Binafsi Nina ndoto za kuwa mwalimu wa watoto wadogo ili niwaongoze kufikia ndoto zao. Natamani pia kuwasaidia watoto wajielewe ili kukabiliana na changamoto mbalimbali.

2
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Safari ya maisha yangu
Author - Narda Mian
Illustration - Catherine Groenewald, Brian Wambi, Rob Owen
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs