Siku ya kuzaliwa
Jack line
Jack line

Siku ya kuzaliwa huondoka kila tarehe nane mwezi wa kwanza kila mwaka. Siku hiyo huwa maalum bila kusahau .Sherehe yenyewe Iliondoka Mwaka huu .Sherehe hiyo ilikuwa ya kupendeza Sana.Tulipamba nyumba yao kwa vibofu na maua

1

Mama yake alihakikisha ameenda sokoni na Duka kuu kununua bidaa za kutengeza vyakula na kinywaji ya iyo siku .
Vyakula vyakuandaliwa ilikuwa wali , pilau na mchuzi wa nyama. Hukonpia kulikuwa kuandaliwe sharubati ya machugwa kama caro

2

Alivyopenda .Baba yake na ndugu zake walianda kuku wawili wanono na Mbuzi mmoja .Shangazi yake alimnunulia Rinda mpya.Caro aliwaalika Walimu , wanafunzi na majirani zake pamoja .Baada ya hapo ilifika wakati wa kutaka keki aligawia wageni

3

Waliekewa sharubati na vyakula Ile wale pamoja na Caro afurahie .Sherehe ilikuwa ya kupendeza mno .Tulicheza Muziki na kurukaruka kwa furaha Caro alikuwa anaingia miaka nane .

4

Ilifikia wakati wa kutoa zawadi alizawadishwa zawadi nyingi Sana .Walimu walimzawadisha vitabu vya hadithi ,madaftari , kipatalishi na mkoba wakutilia vitabu.

5

Tuliweza kumuchamgamsha kwa nyimbo tulizo Tunga na mashairi na kila mmja alienda majumbani.Ilikuwa siku ya utofauti kwa Caro .

6
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Siku ya kuzaliwa
Author - Jack line,phemina Esther,mahenzo
Illustration - Jack line, phemina , Esther mahenzo
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs