

Hapo zamani zakale kulikuwa Na nyanya na mjukuu walikuwa wanaishi kwa tabu na njaa. Ulikuwa tabia ya nyanaya kumtuma mjukuu akaibe chochote ama akatafute chakukula. Mjukuu alikuuwa na bidii Sana kuleta chakula kwa nyanya aliekuwa mkogwe san
Mjukuu aliendelee ivyo Na akazidi kuiba vitu za wengine ndo wapete chakueka tumboni na hakuwai patwa siku zote.
Ilipofika siku ya mwidho mjukuu alikamatwa Na mbwa Na akavunjwa mguu Mara tu watu wakatokea Na kumpiga mjukuu kwa tabia aliyokuwa nayo kwa mda .Walimpiga Na kumchapa Na wakamuacha hoehae .
Mmoja alimchukuwa Na kumpeleka kwa nyanya.
Ulikuwa ni usiku wamanane alimpata nyanyake amelala akaanza kuimba," hawe hawe nivugurira ngombe ninzaiya kishu kinanilola upanga unanilola "nyanyake alikuuwa Na Makoto watu walimchukua Na kumkata Kata vipande vipande kumumaliza
Nyanyake alipoamka asubuhi aliona vipande vya nyama ya mjukuu wake alilia na kuichukuwa nyama ya mjukuu wake Na kuichimbia shimo nakuiweka ndani ya shimo baada ya wiki moja kulimea mgomba mkubwa baada ya wiki moja mgomba ulizaa ndizi
Na ukaanza kuongeya ukisema nyanya yangu ukikula ndizi hizi hautateseka maishani mwako .Nyanya alifata aliyokuwa ameagizwa Na mjukuu Na Maisha yakawa mazuri

