Mwalimu wangu
Joseph Ziro
Jesse Breytenbach

Mwalimu wangu wa darasa anaitwa Bi Nyamawi. Ni mwalimu mzuri sana . Yeye ni mfupi mweusi mzito kiac. Bi. Nyamawi huwa anapenda kufundisha somo la hesabu. Mwalimu wangu anapenda kutusimulia vichekesho .Yeye ni mchangamfu kila wakati

1

Mwalimu nyamawi anakakaribu na shule. Ako na watoto wanne . Wavunala na wasichana wawili . Mike wake n daktari wa kilifi.

2

Mwalimu wangu anapenda Kula matunda kama tomoko , marine, machugwa na avacado.
Yeye hupenda wali Sanaa. Yeye huvaa nguo mzurinzuri na mapambo ya mwilini.Yeye huwa na Gari ndogo jeupe na Yeye hutubeba kwenda nae pamoja nyumbani.

3

Bi nyamawi hukuwa msafi na hawezii funza kwadarasa chafu. Yeye hupenda utilivu pia hapendii kelele darasani.Mwalimu hupendadarasa letu sababu huwa linaongoza Kati ya kwadarasa yote.Yeye huenda Manisa jumapili na husikiliza muziki wa kanisa

4

Mwalimu akao na bustani ya Wanyama kama mbuzi , ngombe Kuku, huwa na paka .Bustani take hukuwa nzuri ya kupendeza .

5

Yeye Ako na shamba dogo la kilimo.Pia hupenda Mboya na mimea kama tomato, Miwa , mchicha, Sukumar na mabenda

6

Bi nyamawi nampenda.Kila mwalimu na mwanafunzi anampenda

7
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mwalimu wangu
Author - Joseph Ziro
Illustration - Jesse Breytenbach, Rob Owen, Isaac Okwir, Salim Kasamba
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs