Umuhimu wa Miti
Shanice. Naima Agnes mweni
Jacob Kono

Miti husaidia kwa kivuli na upepo. Miti ni chakula cha binadamu pia Ni dhawabu au Baraka ya Mungu Kwa kiumbe Hai hapo duniani miti hufanya madhari yetu yawe ya kuvutia miti ni ya thaamani Kwa wanadamu na ina manufaa maishani.

1

Miti ni fathili ya asili tusikate miti kwa mahitaji yetu binafsi miti lazima Itunzwe. Ukataji miti unapaswa kupigwa marufuku shughuli za upandaji miti zinafaa zihimizwe ili tufanye mazingira yote yawe ya kijani

2

Na yenye afya katika dunia ya leo migogoro mbalimbali inayo husiana na mazingira kama vile ongezeko la ukakaji miti mahimizo hayo Yanaweza kuwa kudhatiwa miti .Ni Zaidi na Zaidi kama ni kuokowa miti ama Maisha yetu na miti mingine

3

Miti huwa na maua ya kuvutia mazingira .Miti hutupa dawa na miti hutupa matunda ya kuongeza damu .Miti pia Ni chakula cha Wanyama mfano : nguruwe, Kondoo, mbuzi , ng'ombe na wengine. Miti hutoa mbao za kusaidia kujenga nyumba .

4

Kutengeza vifaa vya mbao kama vile , meza , vitanda , kabati na at mageneza. Baadhi ya miti hutusaidia kutupa mafuta ya kupikia .

5

Miti huleta mvua Kwa mazingira Na huzuia umomonyoko wa udogo . Baadhi ya Miti Ni makao ya Ndege Na wanyama .

6
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Umuhimu wa Miti
Author - Shanice. Naima Agnes mweni
Illustration - Jacob Kono, Isaac Okwir, Shanice. Naima Agnes mweni
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs