

Hapo zamani za kale katika kijiji cha Botomala,palikuwa kijana aliyeitwa Chenza.Alikuwa mpishi wa nyumbani kwetu, kupika chakula cha familia yetu.Chenza alikuwa mpishi ambaye alikuwa anapika chakula kitamu chenye Radha muno.
Siku moja mama aliondoka kuelekea mjini.Chenza alianza kuwa mvivu.Siku moja niliamka asubuhi na mapema kujiandaa kuenda shuleni nikaelekea sebuleni ilikupata staftahi.Nilipofika mezani lo! sikupata chochote Chenza hakua ameandaa chochote.
Nilipoana Chenza hakuwa amenda kiamusha kinywa, niliwaza na kuwazua.Ilibidi niende shuleni bila chai.Njiani nlikutana na wenzangu wakiwa wenye furaha tele nilitembea pole pole hadi shuleni.Shuleni tulisoma mambo mengi pia tulicheza mpira
Nilirude nyumbani,baadaye nikaenda kupika chakula kwa sababu Chenza hakua amepika.Nilipomaliza nilienda kwenye chumba cha Chenza.Ajabu,mlango hakuwa umefunguliwa tangu asubuhi,kuingie ndani nilipata Chenza alikuwa amelala fofofo.
Kumwamsha,Chenza aliamka kwa kushutuka kisha baadaye mlango ukabishawa kufungua alikuwa, Mamake Chenza,Chenza Alifurahia sana kumuona Mamake,Mamake alikuwa amekuja kumbetembelea Chenza mahali ambapo alikuwa akifanyaiea kazi.
Mamake Chenza aliingie na kuketi kuwenye kiti niliwacha kwenye mazungumza kwa muda mrefu sana Chenza alikuwa na furaha sana kwa sababu alitembelewa na Mamake baada ya muda mfupi Mamake alitaka kuondoka ,Chenza alimzidikiza .
Baadaye akarudi nyumbani na kujituliza, niliendelea na kazi zangu za nyumbani kuosha vyombo na shughuli zingine.Mama yangu aliporejea alikuta Chenza chumbani kwake bila kujali.Akampatia pesa zake akimwabia hawezani na uvivu wa aina hiyo.
Siku hiyo nilala usingizi wa mang'amugamu sababu nilikua nimepitia mengi wakati mama hakua nyumbani.Kesho yake asubuhi mlango ulibishwa,kwenda kufungua Chenza alikua kwa mlango huku akilia na kuomba msamaha.Lakini maji ilikuwa imechamwagika

