

Ilikuwa siku ya jumamosi aliyopanga baba na mama kutupeleka matembezi tulipanga twende tukaone bustanil la Uhuru.
Mimi na mamayangu pamoja na dadayungu tulijawa na furaha Tele.tuliingi kwenye gari la baba kabla gari Kung,oa nanga mama alitu ambiyatujifunge Mikanda.
mamaalimkalisha maria kwenyekiti cha watoto kisha akamfunga mkanda safarinzima nilikuwa nikitazama kwadirisha niliwaonawatu waliokuwa wakitembea kwa miguukando ya Barbara wakirengeshwa nyuma upesi.
nyimboziliibwa kwenye gari kwa sautiya chini Sana nyimbo hizozilikuwazilihusu kenyamarakwamara tulipofika kwenye kivukiobaba alipunguzamwendo ilikuruhusu wapitanjiakuvuka wengiwaligeuka nakumshkuru baba yangu.tulifikabustani baada ya dakika
ishirini mama alilipa ada ya kuiingiliandani mama alikuwaamemshikamaria mkono tuliwaonawatu wengi wakiuuzabidaa mbalimba baba alinunua vibendera Sisi watoto tuliandikwa bendra kwenye nyuso zetu tuliona pia Sanam mbalimbali za watu waliopiga

