

Hapo Zamani za kale kulikuwa na sungura na fisi. Sungura na fisi walikuwa marafiki wa kufa kuzikana. Si unajua kwamba sungura ni mjanja na fisi ni mlafi.Siku moja sungura alimwambia rafiki yake "twende tukatembee Motwani," fisi akakubali
wakaandamana wote wawili . Walipofika huko mbele wakawaona marafiki wengine.Marafiki wenyewe walikuwa ni ndovu Na Simba wakaenda pamoja.Walipofika huko mbele Simba Na ndovu wakawambia Sisi tunaenda pale dukani.Sungura na fish wakawambia .
Sisi tunaenda pale dukani .Sungura na fish wakasema tuwasumbiri.ndovu akasema kwani nyinyi hamfiki pae dukanii sungura akasema mimi siwezi kuenda sababu na deni.Simba akasema nendeni maana Sisi tumetumwa .Fisi akasema sawa. Simba na ndovu
wakaenda dukani. Sungura akawaambia fisi, " rafiki Yangu twende nikakuonyeshe mahali ." Hao wakaanza kwenda . Sungura alikuwa anataka kumkomesha fisi Na ulafi wake. Akampeleka shambani mwa mzee tumbiri. Shambani mwa mzee
Tumbiri mlikuwa mna ndizi nyingi sana.Fisi akaanza kula zile ndizi. Sungura akamwambia twende file tuki tuondoke . Sungura akamuuliza fisi hajashiba . Fisi akaambiwa aendelee kula ashibe lakini asijeakashikwa na mwenyewe akachapwa viboko
Sungura alirudi nyumbani kijipaka mishizi. Alichukuwa chuma akakiweka motoni. Alikibeba mbio moja shambani mwa tumbiri. Akamkuta Rafiki take fisi bado anakula akamchapa nacho cha moto .
Fisi alikimbia na urafiki ukaishia apo
Alimkuta risk back Anamika sunburst alimchapa Rafiki game Na mile Chuma cha moto. Kuanzia Sikh hiyo risk Yuko Na madoamadoa hats Sawa.

