Ajali
Anne Haro
Rob Owen

Ajali ni hali yakujeruhiwa na kitu chochote basi hali hii haina kinga. Hutokea wakati wowote.Wahenga walisema, " Ajali hainakinga". Ajali hutokea sehemu mbalimbali ulimwenguni,hususa sehemu ambazo ni miji mikuu.

1

Hapo Zamani zakale kuliishi dereva mmoja.Dereva huyo alikua dereva mwenye haraka na kimbelembele alikua kila akiendesha Gari lake hafuati Sheria za barabara kwa usalama yoyote.

2

Dereva huyo aliitwa dereva haraka.Basi dereva huyo aliendelea hivyo hakuongeza Wala kupunguza tabia zake.Tabia zake zilibaki vivyo hivyo.Alikua natamaa kubwa akiona Abiria wengi.

3

Siku Moja alikua anasafirisha abiria kwenda Kisumu Basi siku hiyo ndio siku aliyokua amepata Abiria wengi zaidi.Abiria wengine walikua hawajawai kumwona dereva haraka basi siku hiyo ndio waliomjua.

4

Walipofika Karibu Gari hiyo iliendeshwa mbio.Dereva haraka hakujali Kua Kuna Kona mbele yake basi alizidi kukaza mwendo bahati mbaya Lori lilikua limefika Karibu hakuweza kujitetea.Gari Hilo liligongwa Vibaya Sana mpaka vioo vikatoka

5

Na tairi moja likatoka .Abiria waliumia vibaya.Gari Hilo lilipenduka pendu pendu.watu wengi Walienda hapo barabarani kuangalia kilichotokea.Abiria Hao walijilaumu kwanini walipanda Gari hilo

6
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Ajali
Author - Anne Haro
Illustration - Rob Owen
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs