

Soko la kongowea ni soko kubwa kijiji Mombasa soko Hilo Lina bidaa nyingi sana tofauti tofauti watu huuza
Nguo , Mboga, simu, viatu, vitabu, mikoba Na halikadhalika.mahali huko watu husukumana sukumana ili wapate
Nafasi ya kupita .hujaawatu ndindi tofauti tofauti Yani waswahili, wagiriama, wachonyi na Kabila nyinginezo.watu hurauka asubuhi ilikuanza kazi zao
Pahali hapo ukichelewa chelewa utakuta mwana siwako Na ukizubazubaa basi waweza Kuta umetolewa meno na wabebe mizigo. Wao huwa wanaharaka sababu mizigo yao hukuwa mizigo sana.
Watu Hao pia hubebe Baraka ili wabebe mizigo mingi wapate riziki yao us kila siku
Soko hilo huwa Na pahali pa kurusha Takataka. Pia kuna nyumba nyingi na vibanda vidogo vidogo Na vikubwa.Kuna nyumba za gorofa na za kawaidha Pia kuna askari ambao hulinda usalama yani mahali hapo kandokando yake kumeegeshwa magari
Makubwa Na madogo Kuna pikipiki nyingi Sana za kila tofauti tofauti
Mimi na baba yangu hupenda kuenda Simoni kila Jumamosi kununua chakula cha wiki na kuona shangazi yangu Aliyev Na kibanda cha mboga Simoni.

