

Hapo zamani za kale paliishi mtu aliyeitwa mwanzele .mwanzele alikua akiishi katika Kijiji Cha Ronanza.Waliishi na bibi yake aliyeitwa Fatuma.Fatuma alikuwa na roho nzuri sana adi angewakaribisha watu nyumbani mwake bila kubagua.
Aliwakaribisha watu nyumbani mwake na hawakutoka mikono mitupu.aliwapenda watu wa Kijiji chake sana.ilhali mwanzele alikuwa mwanabiashara wa kuuza vitunguu sokoni.alitia bidii kazi yake na kupenda wateja wake.angewapa vitu kwa mikopo.
Siku Moja vitu zake za uuza zlikua znatoka nchi ingne ,alipigiwa simu kujulishwa yakwamba meli iliyokua na mzigo wake imezama majini.aliwatuma watu wakaitafte meli lakini haikupatikana.madeni aliyokuwa nayo aliamua kuuza nyumba yake na Mali
Walioouza shamba lao waliamua kwenda kuishi mbali.mwanzele aliamua kwenda kutafuta usaidizi akakosa usaidizi.Mwanzele na fatuma waliamua kwenda kuishi kwa msitu wa bonge.Waliishi maisha ya ufukara.kupata chakula ilikua taabu kwao.
Siku Moja mwanzele alipotoka kazi akapata bibi yake amemwandalia chakula Cha jioni. mwanzele alipo maliza kula chakula Cha jioni aliamua kujilaza kitandani.aliota akiambiwa mtu atakaye kuja kwa nyumba yake amgonge na mti kwenye kichwa chake
Mwanzele aliambiwa ya kwamba akigonga uyo na mti,naye atageuka kuwa tajiri tena.kisha akashtuka kutoka kwenye usingizi.mkewe alimwambiw yakwamba kiongozi amekuja kumwona.aliamka Kisha kwenda kwenye Barbara, alimwoma bahari Moja akampiga.
Alipompiga aliamua kutulia adi kwake.alipokuwa akitulia aliskia mtu akibisha mlangoni mwake.alipoenda kufungua mlango alimpata bahari aliyeingia.mwanzele alimpiga na mti na bahari aligeuka kuwa thahabu.kisha akaamua kuwaalika bahari wengi.
Walipokuja aliawafungia kwa nyumba yake na kuanza kuwapiga kwa mti.bahari wengine walianza kupiga kelele wakiita majirani,majirani walipokuja waliwasaidia bahari wale na kumfukuza kiongozi katika Kijiji Chao.
Mwanzele na fatuma waliamua kunua shamba la kujenga nyumba ingne ya kifahari.na pia kuanzisha biashara za hapa na pale ili kujikimu.Walitia bidii kumwomba mungu na wakafanikiwa.kisha walinunua nyumba ya kifahari.
Mwanzele na bibi yake walirudi na kununua gari wakawa na duka kubwa iliyokuwa na kila kitu.bibi yake naye alianzisha biashara nyingine ya kuuza nguo za watoto. wakawa mabwenyenye .Maisha Yao yalibadilika wakaishi maisha ya furaha

