Mfalme chura
Said Khamisi
Salim Kasamba

Hapo zamani zakale,kulikuwa na chura na wanyama wengineo.Baadhi ya wanyama waliokuepo ni,Kobe, ndege,sungura na mamba.Wote waliongozwa na chura.Waliishi katika kijiji kimoja.

1

Walicheza na kufurahi pamoja.wote walifurahi kwa uongozi wachura.Aliwapenda na kuwaenzi.Siku zote aliheshi mu methali hii iseyo kuwa,umoja ni nguvu utengano udhaifu.

2

Wakati wote unge wapata wakiogelea nakufurahi majini.Siajabu ukiwaona wakita ngamana katika kila safari.Siku moja walikusanyika ili kubadili Shana mawazo kuhusu jinsi wangeishi katika kijiji Chao.

3

Walikubaliana kuyaweka mazingira yao safi.Mazingira machafu huyaweka Manisha yetu hatarini! Mfalme chura alisema kwauchungu.Waliendelea kuya Safisha mazingira yao.Kila wakati waliishi kwa usalama na buheri wa afya.

4
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mfalme chura
Author - Said Khamisi
Illustration - Salim Kasamba, Said Khamisi
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs