Mfugaji hodari.
Said Khamisi
Isaac Okwir

Hapo zama, paliondokea mfugaji aliebobea. Ali fuga mifugo mbali mbali. Kijiji chote kilimsifia.Watu wengi wali taka kujua alikobobea ufugaji huo.Katika shamba lake, anafuga mifugo kama vile, kondoo na wanyama wengineo.Kila wakati Aliwatunza

1

Wakulima wengine walimuonea wivu kwaustadi aliokuanao.Kila wakati wakulima tofauti walikuj nakumuomba ushauri.Aliwashauri kuwamnapaswa kutiabidii katika ufugaji wenu.Mkitilia maanani ushauri huu,mtafika mbali katika ufugaji wenu Aliwa mbia.

2
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mfugaji hodari.
Author - Said Khamisi
Illustration - Isaac Okwir
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs