Ajabu ya pete
Precious Sarahs
Magriet Brink

Ilikuwa wakati wa likizo ya Disemba. Mimi na dada yanga tulialikwa Kwenye harusi ya Shangazi yetu Triza. tukuwa tumealikwa ili tubebe pete ambazo Bwana na Bibi arusi wangwevishwa

1

Zilikuwa pete mbili .ZiliKuwa na bania vijikasha Mimi na dada yangu tulikuwa na furahatele. Tulifurahi kuwa tungepata nafasi nzuri ya Kula kwa harusi. Siku ya iyo Mimi na hidaya tulipeleka na mama kwa

2

Shangazi. Ilitujiandae kwa harusi. Tulirembesha kwa mavazi mapya ya Harusi. Bibi Harusi alikuwa Amepambwa kwelikweli masikioni alivalia Vipuli na mkufu Wa Dhahabu ulinginia shingoni. Pia na

3

Mimi niilifurahiya kucheza na kuruka.Nili enda kuketi kwenye kiti cha maharusi.

4
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Ajabu ya pete
Author - Precious Sarahs
Illustration - Magriet Brink, Leo Daly, Jesse Breytenbach, Brian Wambi
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs