

Happy Zamani zakale kulikua na wanaume wawili majina Yao ilikuw David Na Juma.Wanaume wale walikua Na bidii kama mchwa.Walifanya kazi ya Musa mama's.Miti ilianza kuisha David alibidi kwenda mstuni kutafuta miti Na atengeneze makaa.
David aliwaaga familia yake ,Mke wake alimwekea chakula mkobani . Chakula kilisha Siku ya 3 na mchana.ilivyo Ingia giza alikua Na nja kulikua na baridi.Alivyo Lala kulipita mambilikimo Waki imba nyimbo nzuri ambayo ilitowa nyoka pangoni.
Waliingia kwenye karsi .Karsi hilo kulikua chini ya ulinzi.David alimsalimia mfalme"nawewenina?"alisema mfalme.Alijitambulisha jina lake alisema Mimi naitwa David.Alisema mfalme unaenda" wapi?Unataka Nini?"alijibu Nina tafuta miti.
Mfalme Ali mwambia mfanyikazi wake ahakikishe ya kwamba aoge,Avae nguo safi Na akule chakula.alifanya kilakitu ilicho agizwa Na mfalme.Ilvyo kucha asubuhi mfalme alimpa mzigo.
Ulibebwa Na mambilikimo. David alivyochukua mzigo mke watoto wake Wali mpokea baba yao mzigo.Na kuingia ndani ya nyumba nakujipumzisha.Alivyo amka aliagiza mzigo kuangalia kama Kuna Nini ndani.Aliona dhahabu wali Kuana raha tele moyoni.
Juma alivyosikia kuhusu David naye alivifanya pia alienda mstuni.Ilivyofikafika Siku ya 3 na usiku aliwaona mambilikimo Waki imba Kwa mstari nyimbo.Aliuliza nyinyi Ni Nani?mna imba nyimbo gani alienda nao Hadi Kwa Karsi.
Kabla mfalme amwambie ajitabulishe Maji......alisema Jina lake laitwa .Juma mfalme alishangazwa Na Juma alichosema mwanaume yule alifanya alichoagizwa na mfalme. lakini alifanya na haraka hatahakulala usiku.Ilifika asubuhi nakubebewa mzigo.
Alivyoingia ndani ya nyumba alichakura ndani ya gunia aliona sinamu za kilamwili akiangalia kilamwili ya muuma aliugua alipelekwa hospitalini lakini aliaga.

