Maki amtembelea nyanyake mji wa ajabu
Peter Chuma
Abraham Muzee

Ilikuwa ni likizo ya Desemba maki amtembelea nyanyake mji wa Kilifi.kwani tangu shule zifungu liwe

1

Nyanyake Bibi Saidi Na babu yake Bwana Saidi walifurahia kumwona mjukuu wao Maki akiwatembelea.Maki Na alifufahia kumwona wakiwa wazima Na wenye buheri wa afya.

2

Walimkaribisha Kwa furaha nyanyake Bee Saidi alimwandalia chakula kitamu .walimchichia njogoo alie nona. Maki alipomaliza Kula aliwashukuru.

3

Ilipofika jioni maki aliwasaidia kushuga mbuzi,ng'ombe na kondoo kuwalisha na baadaye akawafuga zizini mwao. Bwana saidi na Bee Saidi walifurahisha na kazi hinyo.

4

Shule zilipo funguliwa Mike alirundikwa wazazi wake walifurahia kumwona mtoto wao Waki pekee akiwa amerundi Salama Salamini

5
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Maki amtembelea nyanyake mji wa ajabu
Author - Peter Chuma
Illustration - Abraham Muzee, Brian Wambi, Isaac Okwir, Jesse Breytenbach
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs