Mtoto was ajabu
Ian Bhalla
Catherine Groenewald

Hapo zamani za elfu Lela ulela Katina kijiji cha pambizoni paliondokea mtoto wa ajabu aliyejulikana kama makusudi kijana huyu alikua wa ajabu sana. Siku moja mamake alipika kitoweo cha nyama alibandika sufuria Kisha akatoka nje ili afagie

1

Hulu nyuma mtoto aliamka Aste, aste Hadi kwenye sufuria Kisha akaokotaka nyama Na kuanza Kula Kisha akarudi kulala.mamake alipo Rudi alizubaa Na kuduaa ,mumewe aliporejea alimpasha yaliyo mkuta huko nyuma lakini hakuyaamini maneno take.alia

2
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mtoto was ajabu
Author - Ian Bhalla
Illustration - Catherine Groenewald, Rob Owen, Kenneth Boyowa Okitikpi
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs