

Iliku wakati wa likizo ya Disemba. Maseno na wazazi wake walita ka luxury Jiji la Mombasa siku ingefuata. Maseno alingoja Kwa hamu na ghamu.
Hatimanye siku hinyo ilifika Maseno na wazazi wake walijitanyarisha kwa safari. Waliekea kituoni kunjea ngari.matuana iliwasili waliingiandani ya matauna tayari Kwa safari ya kuelekea Katinka Jiji la Mombasa.
Walipo Fika Jiji la Mombasa Maseno alifurahia kuliona Jiji la Mombasa pamoja na wazazi wake.
Walikwenda katika hotel moja kunywa Lilo kuwa karibu nao. kulachakula cha mchana walikula chakula kitamu mnoWalipo Meliza Kula chakula walikunywa soda bari kujivinjari.Maseno alifurahia kulachakula hicho kitamu.wazaziwake hawanjawahimpikia
Walipomaliza walielekea bustani kupunga upepo nakuangalia jinsi kunavyopendeza.Kulikuwa na maua ya Kula aina nyingi na rangi tofautitofauti.Walipi picha wakiwa katika bustani.
Walipo rundi nyumbani Maseno aliwahadhia marafiki same kuhusu Jiji la Mombasa.

