MULAN MSICHANA MWEREVU NA SHUJAA
Abdulghafar Ahmed
Adonay Gebru

hapo zamani za kale hapo China.
palikuwa na generali .generali huyo alikuwa akiitwa Hongsha.
generali Hongsha alikuwa na mtoto wa kike aliyeitwa Mulan
Mulan alikuwa msichana mrembo na msichana mwerevu.
Mulan alipenda wazazi wake Sana.

1

siku moja generali Hongsha alikuwa mgonjwa. wakati huwo huwo katika ufalme wa China kulikuwa
na Vita baina ya China na Japan. mfalme wa China alimweleza generali Hongsha kuhusu Vita.
generali Hongsha aliwaambia wanakijiji kuwa katika

2

familia. Kila familia ni lazima mtu wao mmoja wapigane. habari zikaenea China. lakini nyumbani kwa generali
Hongsha kulikuwa hakuna mtu wakupigana.mulan aliposikia kuwa babake atapigana akiwa mgonjwa. Mulan
msichana shujaa alimwambia baba

3

yake Yuko tayari kupigana. baba yake aliposikia alikataa kata kata.
generali Hongsha alizidiwa Sana na ugojwa. alikataa Tama ya kupigana.
naibu generali Hongsha alitangaza kuwa kesho ni mazoezi ya kupigana.
Mulan msichana mwerevu

4

za baba yake. alikimbia nyumbani kwa kutumia farasi alipofika mahalo palipofanywa mazoezi alikutana na hongshi.
hongshi alinikaribisha na kuanza mazoezi.
habari mbaya upepo mkali ulifika bahati mbaya kofia ya Mulan
ilipeperuka. hongshi

5

alishikwa na hasira. alimfukuza Mulan. Mulan alipokuwa njiani
aliwaona jeshi la Japan liki penyea penyea huku jeshi la China bila kujua. jeshi la Japan likienda China kumvamia mfalme wa China.
Mulan alipenda mbele yao . mbele ya mlango wa

6

nao China. Mulan aliwakata kata shingo Kama kuku.

mkubwa wa jeshi wa Japan alipenda na kuingia ndani ya china.
alienda kumvamia mfalme. mulan alimwambia adui wake .
twende juu ya bati tukapigane . alimdharau . walienda juu. Mulan alimwambi

7

ona! vile jeshi lako linakufa. Alipotazama alimsukuma na kuanguka chini . aliaga dunia. watu walisherekea.

8
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
MULAN MSICHANA MWEREVU NA SHUJAA
Author - Abdulghafar Ahmed
Illustration - Adonay Gebru, Brian Wambi, Isaac Okwir, Kenneth Boyowa Okitikpi, Rob Owen
Language - Kiswahili
Level - Longer paragraphs