

Ulikua siku ya jumamosi tarehe kuni na tano mwezi wa saba
Siku hiyo ilikuwa ya furaha na bashashi ilikuwa yenye amani tele. Nilipokuwa nimetoka jikoni kwendea kiamsha kinywa na ilikuwa si kawaida kamwe.
Punde si punde nlivyokuwa nmetoka nje, niliona mlolongo wa magari uliokuwa unateremka. Ghafla wazo lilinijia na kukimbia nyumbani na kumwambia mama habari hizo.
Jasho jekej lilianza kunitiririka na nikaishiwa nguvu kama mtoto mchanga.
Nilipokuwa namueleza mama habari hizo, nlishikwa na kiwewe, kingungumizi kilivaa na nikashidwa kuelezea. Mama alitoka nje na kuangali magari hayo kama yalikuw yanaelekea wapi.
Punde tu, Mama akasema kuwa yanaeleke kwa mzee busara, kwa sababu tulikuwa na harusi.
Mama alitia maji kwe kwenye beseni na akaenda kuoga.
Alipomaliza kuoga aliendea rinda lake lenye madoadoa, vipuli na viatu vya juujuu yaani kodokodo.
Alipomaliza alingoananga nakuelekea kwa mzee busara. Nilitia maji kwa haraka nakuenda
bafuni kuoga. Nilipomaliza nilijipaka mafuta.
Niliangalia suti yangu kwa udhi Na uvumba lakini siku fuadafu Machozi yalianza kutiririka. Nilichukua sanduku la dada nakuanza kuchakura.
Lo! Kumbe alikua ameificha ndani ya sanduku lake? Nilichukua kwakwakwa.
Kwa furaha niliivaa Huku dadangu Skie anachungulia kwenye dirisha nilitoka nje huku nikiwa nimeshikilia fimbo.
Nilimchapa akakimbia ndani ya nyumba Huku akilia. Nilienda ndani ya nyumba nakumbembeleza ili tuweza kwenda kwa mzee busara.

