Hapo Zamani ,kuliishi msichana mmoja aliitwa tausi . Tausi alikua msichana mzuri,alikua Yuko katika shule ya upili.msichana huyo alikuwa hana baba wala mama. Alitia bidii sana masomoni mwake.walimu wa shuleni.
1
Msichana huyo alikuwa Na marafiki Wazuri, walikuwa wakimpenda sana. Siku moja msichana huyu akaanza kushikana Na marafiki wabaya.marafiki Hao walimharibu taus. Tausi Alianza kuwa mtukutu . alikuwa darasani hashiki ya Mwalimu wakifundisha,
2
Tausi alikuwa anafanya vizuri Kwa sababu ya marafiki hawa.Marafiki walianza kumshauri Tausi ili awambie Shifa zake.Tausi alikataa katakata.Basi siku ile homa Tausi walitoroka na marafiki zake Wale wabaya walienda matangani.
3
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Msiba wa kujitakia mwenyewe.
Author - Stahmili Kassim. Illustration - Leo Daly, Magriet Brink, Wiehan de Jager, Brian Wambi, Rob Owen Language - Kiswahili Level - First paragraphs