Safari ambayo sitaisahau Katika Maisha yangu yote ni ya kuwatembelea Wanyama wa mbuga.Safari hiyo naipenda Sana kwasababu napenda kuwaangalia Wanyama Pori.Siku ya jumamosi mwezi wa Sita, tulienda Katika mbuga ya Wanyama huko Tsavo.
1
Mimi kama mpenda Wanyama nilimharakisha mama yangu ili tuweze kwenda Na mapema tilianza Safari yetu asubuhi Sana kwa sababu tuweze kufika mapema Katika mbuga hiyo . Tulipofika mbugani , tulimkuta mwanamume mmoja Katika Lango.
2
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Safari ambayo sitaisahau.
Author - Olesia Mwaka Illustration - Rob Owen Language - Kiswahili Level - First paragraphs