Boke mvivu
Mercy Joseph
Mercy Joseph

Boke alikuwa mvulana asiyependa kazi. Hata ivyo wazazi wake walimulazimisha lakini wapi? Hakusikia la mwanadhini Wala la mteka maji msikitini. Kazi yake ilikuwa ya Kula tu! Boke alipenda Kula sana, Boke alikula chakula chote kilichopikwa.

1

Suki moja Baba yake Boke alikuwa ametoka Kazumi alipofika nyumbani alimkuta Boke akiwa hajiwezi Kwa shiba sana alikuwa amelala. Baba yake alimuliza mama yako Yuko wapi? Boke alijibu sijui alikoeda kwani Mimi nimemuachahumo chumbani mwake.

2
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Boke mvivu
Author - Mercy Joseph
Illustration - Mercy Joseph, Offei Tettey Eugene
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs