Ziara yangu ya kwanza mbugani
Saida Husseni
Catherine Groenewald

Baba yangu aliniadi kuwa nitakapofanya mtihaniwangu kishanifaulu atanipelekahuko màasai mara iliñiwezekuona Wanyama tofauti. Nilijawanafuraha, nyingi moyoni. Naminiliamua kufanya bidii masomoni. Nilijifunga kibwebwenakujikaza kisabuni.

1

Iliniweze kulibingirisha gurudumu lamasomo lilivyozito kamananga. nilijihidikusoma kazi nilizo andika. muhulawatatu, tulianza, mitihaniyetu rasmi. Niliomba ,Mungu iliniweze kufAulumitihani yangu. baadaya kumaliza mtihani.

2

Wikimoja ili pita mwAlimu, mkuu alituambia yakwamba angetupatia majibu baada yamasaa mawili nilikuwana hamu yakujua Nani aliyekuwa mshindi katika darasaletu naye mwAlimu wazamu alinitangaza Mimi kama mshindi katikadarasa letu lasita.

3

Nilipofika nyumbani nlimkuta mama akitazama runinga Nilimsalimia mama kwa heshima kuu Kisha akaniuliza Je? Jmmetamatisha muhula wa tatu Kisha mkapata majibu Yenu ,Ndio mama nlijibu bila kusita Kisha nkachukua mkoba Wangu Kisha nkatoa

4

ripoti yangu .Mama alifurahi baada ya kuona matokeo Yangu . Alisema lazima atimize ahadi yake Kisha akaandaa chakula cha jio baada ya Kula mama Alisema nianze Kupaki mizigo Yangu kwenye mkoba wa kusafiria.Ilipofika asubui ,baba alikuja,

5

nyumbani n gari lake ,mama alinisaidia kueka mizigo Yangu ndani ya gari tuliingia ndani ya gari n Safari ikaanza tulielekea moja kwa moja hadi Tsavo mashariki. Ilikuwa saa za jioni tulilala kwenye nyumba ambayo tulilipia Kodi, tulienda Kula,

6

Jioni Kisha tukaenda kupumzika,simu iliyofuata tulielekezwa kwenye Wanyama Pori ,nliona Wanyama tofauti mfano; Simba, ndovu, kifaru n wengineo, hiyo ndio iliyokuwa ziara Yangu ya Kwanza mbugani.

7
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Ziara yangu ya kwanza mbugani
Author - Saida Husseni
Illustration - Catherine Groenewald, Jesse Breytenbach, Rob Owen, Wiehan de Jager
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs