Shamba la Mzee Katana
Amina Chai
Isaac Okwir

Jirani yangu mzee Katana Ni mkulima hodari Kijiji mwetu. Mzee Katana ako na shamba kubwa ambalo anapanda Lila Aina ya mazao. Mzee Katana anapanda Sana kulima.

1

Katika shamba la Mzee Katana, amapanda mihogo,miembe,mahindi, migomba,michungwa na mingineyo.Babu huyo alipenda kuipalilia miche hiyo.Miche hiyo ilipokuwa mikubwa ikazaa matunda.

2

Miti ilipozaa, Mzee Katana anavuna Na kuchukuwa mazao ya miti Na kuenda nayo kuiuza sokoni. Mzee Katana hupanda Gari Lila jumatano kuelekea Kilifi kupeleka Nazi,mihogo Na machungwa. Kilifi Kuna Soko kubwa ambalo ana wateja wengi.

3

Wakati mwingine Mzee Katana huchelewa kufika saa Saba kamili magari yakuchuwa maembe, mihogo Na mazao mwingine huwa yameondoka tayari.Yeye hurudi nayo nyumbani. Siku kama hiyo Akifika nyumbani anapeana mazao yake Kwa majirani zake.

4

Majirani wanampenda Sana Mzee Katana, badala ya kuwaizia Kwa Bei ya ghali, anauza Kwa Bei ya Chini. Mzee Katana hupanda kuona watu wakitese Kwa sababu hawana chakula. Kila mtu Kijiji humuombea Mungu ampe Maisha mazuri Na mazao mengi.

5
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Shamba la Mzee Katana
Author - Amina Chai
Illustration - Isaac Okwir
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs