Matende ni Mgonjwa
Stephen Kibasa
Stephen Kibasa

Kichwa kinamuuma sana

1

Anaanza kulia. Nani atamsaidia?

2

Mama yake anakuja. Anampa maziwa ili anyamaze

3

Matende haachi kulia kwasababu bado ni mgonjwa.
Mama anamuogesha ili anyamaze

4

Anamvalisha nguo na kumbeba. Lakini bado analia

5

Sasa Matende amelala. Mamaake anamuonea huruma sana

6
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Matende ni Mgonjwa
Author - Stephen Kibasa
Illustration - Stephen Kibasa
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs