Maarifa
Kelvin Akaro
Kelvin Akaro

Maarifa ni uwezo wa kufanya jambo fulani kama ufugaji,kilimo n.k.

1

Kilimo pia lnasaidia katika jamii kujifunza mambo mbalimbali mfano kujifunza jinsi ya au namna ya kupanda mimea kama vile mahindi,mtama, maharage na n.k

2

Pia lnasaidia katika jamii kujifunza mambo mbalimbali mfano kujipatia kipato,kivuli na matunda

3
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Maarifa
Author - Kelvin Akaro, Marvin Edward
Illustration - Kelvin Akaro, Marvin Edward
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs